kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,985
- 21,245
0444hrs
duh,ndio mnavyoishi humu? aiseee ndio maana kumbe....I want problem always😪, kwanini gunner asianzishe uzi wa kuwakera watu ili wapate hasira wamzodoe nipate amani ya moyo
eh maliziaduh,ndio mnavyoishi humu? aiseee ndio maana kumbe....
bonjoureh malizia
Bonjourbonjour
🤔bonjour
dogo ana stress za maishaPSL god
Stupid boy 🤨
ushaninyima kazi🤔 ya media?dogo ana stress za maisha
ujue siamini km huna kazi, naona unanitega tuushaninyima kazi🤔
et nakutega alaaah😅😅😅ujue siamini km huna kazi, naona unanitega tu
eeeh unakosaje kazi ,wa kishua kama weweet nakutega alaaah😅😅😅
we nipe mchongo huo wa media nione kama nitatoboa, kazi moja haitoshi natafuta nyingine ziwe mbili sitaki kupumzika kabisaeeeh unakosaje kazi ,wa kishua kama wewe
kazi mbili utafanyanye wa kishua ? tatizo unaeza kupewa mchongo halafu kwako kumbe sio mchongo ndio maana ngumuwe nipe mchongo huo wa media nione kama nitatoboa, kazi moja haitoshi natafuta nyingine ziwe mbili sitaki kupumzika kabisa
duh sawaaakazi mbili utafanyanye wa kishua ? tatizo unaeza kupewa mchongo halafu kwako kumbe sio mchongo ndio maana ngumu
Inasikitisha sana.Panasikitisha sana kiongozi