Embu kwanza ilikuwa shule gani hiyo, isijekuwa tumesoma shule moja[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua age yangu?Ilikuwa ya wavulana tupu, halafu at your age haiwezekani tuwe tulisoma wote.
Juma BaragazaHiko hiko, kipindi hicho alikuwa anakoendesha Juma Beragaza (sina uhakika na spelling)
Huyu mtu yupo lindo kweli?
Mi nalala saa moja jioni apa nmetoka kukojoaMida hii wamelala hua wanachoka sana wale
Nsumba sec nini?Ilikuwa ya wavulana tupu, halafu at your age haiwezekani tuwe tulisoma wote.
Mi nalala saa moja jioni apa nmetoka kukojoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua age yangu?
Na kimalkia humuhumu acha kuntia usingizi bas eeAlmost, +/- 2 margin of error.
Upo sahihi kabisaJuma Baragaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Haki ukipatia nakupa zawadi taja makadirio yako halafu mimi nitazingatia hiyo +/- 2Almost, +/- 2 margin of error.
Zawadi gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] Haki ukipatia nakupa zawadi taja makadirio yako halafu mimi nitazingatia hiyo +/- 2
Siri yanguZawadi gani
Sio mama lishe ote tunauza usiku mkuu usisahau[emoji4]you see ? Wewe sio mama lishe
Wale hiyo saa moja ndio wanafika kwao au ndio wanapikia watoto hapo bado hawajaenda kupiga umbea kwa jirani
MtihaniSiri yangu
Mnauza nini?Sio mama lishe ote tunauza usiku mkuu usisahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Haki ukipatia nakupa zawadi taja makadirio yako halafu mimi nitazingatia hiyo +/- 2