Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,592
Popo naona kumekucha.
Jamani leo niko lindoni mpaka asubuhi.
Popo naona kumekucha.
Hahahahah wuuii ndugu yake jiwe anaengojea utauziWangu yuko tumboni kwa mama yake ndo kwanza ana mwezi mmoja na nusu
Namaanisha.... Midundo ikibadilika ngoma huchezwa vingine..tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]Unamaanisha mwanya wa mdomo kama huu wangu au mwanya wa meno?[emoji848]
Unatoboa ozone mkuuJamani leo niko lindoni mpaka asubuhi.
Ukiwa na maana gani wengine kiswahiki ni kugha ya pili na tumekijua darasaniNi kiswahili fasaha mkuu
Hivi hb kwanini unanidengulia? Au kwa vile unajua nakupenda? Haya bwanaPopo naona kumekucha.
[emoji16]unazoea tu.by the way huezi kuwa mama lishe bana mkuuMhh sasa mie mda huo nikilala kesho si ntachelewa pika uji wa asubuh mama lishe mie
Nini tena! Sema usikikeHivi hb kwanini unanidengulia? Au kwa vile unajua nakupenda? Haya bwana
Mhh mama lishe anakuaje mkuu[emoji16]unazoea tu.by the way huezi kuwa mama lishe bana mkuu
Kila la heri kamandaJamani leo niko lindoni mpaka asubuhi.
Unatoboa ozone mkuu
Si nilikuomba jaketi wewe, au unaona raha ninavyopigwa na baridi?Nini tena! Sema usikike
Kile cha kutuma salamBack then, RFA walikuwa na kipindi cha Hakuna Kulala, so kama unaenda prep ya kutoboa ozone unawaaga washkaji kwa kutamka RFA.
Watu waliosomea kanda ya Ziwa wanaikumbuka hii.
Aisee! Kumbe upo nchi hiiSi nilikuomba jaketi wewe, au nunaona raha ninavyopigwa na baridi?
Ha ha ha..
Embu kwanza ilikuwa shule gani hiyo, isijekuwa tumesoma shule moja[emoji23]Back then, RFA walikuwa na kipindi cha Hakuna Kulala, so kama unaenda prep ya kutoboa ozone unawaaga washkaji kwa kutamka RFA.
Watu waliosomea kanda ya Ziwa wanaikumbuka hii.
We haya nifanyie tu roho mbayaAisee! Kumbe upo nchi hii
Mida hii wamelala hua wanachoka sana waleMhh mama lishe anakuaje mkuu
Kile cha kutuma salam
Haliwezi kukutoshaWe haya nifanyie tu roho mbaya