Nmekumiss pia asee leo naona angalau ntajitahidi kubaki bakiNimekumiss bestito
Sikuhizi wadau hawana stori nalala saa tisa kamiliHehehehe ai unajua mie nalindaga mapema alafu nakabidhi kijiti kwenu mkuu
Hyo mikono unaunga kila siku mkuu unatoa wapi[emoji18] [emoji18]Naunga mkono hoja.....[emoji30][emoji30][emoji30]
Nimebaki mdomo wazi!Naunga mkono hoja.....[emoji30][emoji30][emoji30]
Mhh sasa mie mda huo nikilala kesho si ntachelewa pika uji wa asubuh mama lishe mieSikuhizi wadau hawana stori nalala saa tisa kamili
Ebu achana kwanza na hoja.....Hyo mikono unaunga kila siku mkuu unatoa wapi[emoji18] [emoji18]
Mhh njia ya kwenda hyo sehem nmeisahau mwenzioEbu achana kwanza na hoja.....
Hivi PM yangu umeiona!!??
Naomba nikuachie lindo langu uniangaliziepo, mimi najiandaa na safari jogoo la kwanza natakiwa nianze kutembea kuelekea stendNmekumiss pia asee leo naona angalau ntajitahidi kubaki baki
Utalikuta salama kabisaa mkuu silaha zote ntakuwa makini nazoNaomba nikuachie lindo langu uniangaliziepo, mimi najiandaa na safari jogoo la kwanza natakiwa nianze kutembea kuelekea stend
Wahenga tunasemaga.....Nimebaki mdomo wazi!
Kwa kauli hiyo umenithibitishia pasipo shaka kuwa wewe ni rafiki wa kweliUtalikuta salama kabisaa mkuu silaha zote ntakuwa makini nazo
Akomelepo mwenyeji na mgeni koma papo..[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mhh njia ya kwenda hyo sehem nmeisahau mwenzio
Mimi ndiye haswaa hutojutiaaKwa kauli hiyo umenithibitishia pasipo shaka kuwa wewe ni rafiki wa kweli
Unionyeshe na shmela kabisaa asilete wazimu kwa wengineKwa kauli hiyo umenithibitishia pasipo shaka kuwa wewe ni rafiki wa kweli
Unamaanisha mwanya wa mdomo kama huu wangu au mwanya wa meno?[emoji848]Wahenga tunasemaga.....
Mwanya ni kilema pendwa[emoji39] [emoji39]
Mhhh lugha gani hii mkuuAkomelepo mwenyeji na mgeni koma papo..[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wangu yuko tumboni kwa mama yake ndo kwanza ana mwezi mmoja na nusuUnionyeshe na shmela kabisaa asilete wazimu kwa wengine
Ni kiswahili fasaha mkuuMhhh lugha gani hii mkuu