Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,866
Faini utanionea tu kwa kweli. Nitakata rufaa na naamini nitashinda [emoji16][emoji16][emoji16]Hayo ndo maneno siyo kuuchuna ila wallah tena fine huwezi kuikwepa.
Faini utanionea tu kwa kweli. Nitakata rufaa na naamini nitashinda [emoji16][emoji16][emoji16]Hayo ndo maneno siyo kuuchuna ila wallah tena fine huwezi kuikwepa.
Leo vijana wako wanategea sana, imebidi niwahi niokoe jahazi.
Kumbe una ndambi hivo afu unavaa lugola style
Njoo tulindeJamani eee muda wa lindo huu
Niko hapa tayari kabisaaaNjoo tulinde
[emoji1]haya mkuu ila nakujua saa saba utalalaNiko hapa tayari kabisaaa
Chamdeko unapenda stareheTulio 777 tujuane
Hehehehe ai unajua mie nalindaga mapema alafu nakabidhi kijiti kwenu mkuu[emoji1]haya mkuu ila nakujua saa saba utalala
Ulivyo hodari wa kutufungulia geti utasema kinara wa kukesha kumbeeee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani eee muda wa lindo huu
Huhuhuhuhu wuuuiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126]Ulivyo hodari wa kutufungulia geti utasema kinara wa kukesha kumbeeee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha maneno mwanamkeUlivyo hodari wa kutufungulia geti utasema kinara wa kukesha kumbeeee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaanisha tripo seveni ya wapi? Maana mimi niko tripo seven ya hapa Nakapanya[emoji23]Tulio 777 tujuane
Nimekumiss bestitoWacha maneno mwanamke