Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,249
- 98,159
01:35
Mambo D?
chief guard mambo?Karibu mamii, I missed you so dearly.
Tumeshampata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Guys akipita SHIMBA YA BUYENZE muambieni amu anamtafuta sana na anansababishia usumbufu mkubwa nashindwa kuconcentrate kwenye mambo yangu, anitafute.
Hivi huu uzi kumbe sio wa usiku wa manane tu ?Guys akipita SHIMBA YA BUYENZE muambieni amu anamtafuta sana na anansababishia usumbufu mkubwa nashindwa kuconcentrate kwenye mambo yangu, anitafute.
Chumchang changchum nisaidie kusoma hili jina lako maana naishia kusema "chumu chumu " tu [emoji23]Lindo lipo salama?
mh!!Guys akipita SHIMBA YA BUYENZE muambieni amu anamtafuta sana na anansababishia usumbufu mkubwa nashindwa kuconcentrate kwenye mambo yangu, anitafute.
Hivi huu uzi kumbe sio wa usiku wa manane tu ?
Nilikuwa naheshimu kichwa cha uzi,kumbe ni muda wowote aisee. Nitakuwa napita pita huku.
chief guard mambo?
Haina noma kaka mkubwa !Huyo uliyemquote unaona kapost saa ngapi?
Ukiingia mchana ni uvunjaji wa sheria, leo tumekuacha kwa sababu ni mgeni, ukirudia ban inakuhusu.
Kuna mtu namtafuta sana,ukiona kapita humu nistue !Huyo uliyemquote unaona kapost saa ngapi?
Ukiingia mchana ni uvunjaji wa sheria, leo tumekuacha kwa sababu ni mgeni, ukirudia ban inakuhusu.
Unalinda nini mtaalamu ?Jamani muda wa lindo umefika
Kuna mtu namtafuta sana,ukiona kapita humu nistue !