JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi huu uzi kumbe sio wa usiku wa manane tu ?

Nilikuwa naheshimu kichwa cha uzi,kumbe ni muda wowote aisee. Nitakuwa napita pita huku.
ukipitapita hovyo unakamatwa kwa kosa la uzururaji
Tumeshampata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
shimba kuna sehemu nakusubiri umeuchuna je unajua madhara unayonsababishia? faini yake unaweza?
 
ukipitapita hovyo unakamatwa kwa kosa la uzururaji

shimba kuna sehemu nakusubiri umeuchuna je unajua madhara unayonsababishia? faini yake unaweza?
Nivumilie rafiki. Niko kwenye hekaheka nyingi. Ila mwenyewe utafurahia. Kuwa na subira kidogo na natumaini hata faini hutanipiga. Barikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
IMG-20180911-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom