JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unalala saa mbili mkuu? mi nililala saa moja ndo yamenikuta ya kuamka saa saba.
Suluhisho.
Kama hupati usingizi.
Kapua/,Blink haraka haraka kwa muda was sec 60. I assure you hutachukua muda lazima ulale. au weka kipande cha mkaa juu ya sikio

Kama hutaki kusinzia.
Kodoa mahcho ndani ya Sec60,au weka miguu kwnye maji. trust me huwez pata usingizi mremb
 
Back
Top Bottom