fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,890
wazima wa afya karibuWazima humu ndani
wazima wa afya karibuWazima humu ndani
Aisee tutaongea nikifika,Mambo ya kikazi tuu...Jamani waenda wapi best? Haya safari njema! Wasalimie wachina huko
Nitake radhi bwana, mnyantuzu na mimi wapi na wapi? Au unataka kunizibia riziki hapaUpo mama mrs mnyantuzu[emoji23]
Asante mnoowazima wa afya karibu
unaweza kua mmojawaoWachache wanaoaga pindi safari ya kuzimu inapowajia...
Kabisa, hapa panatutosha. Kwanza panatufanya tumissiane mchana kutwa[emoji85]Hiyo ya mchana nadhani ile ya likes au Makapuku zinafaa sana.
[emoji23] [emoji23]Nitake radhi bwana, mnyantuzu na mimi wapi na wapi? Au unataka kunizibia riziki hapa
Parade SAA ngapi Leo,afande na ....kaishafika?
haya lindo lako wapiAsante mnoo
3:30 itapendezaParade SAA ngapi Leo,afande na ....kaishafika?
duu mara hiiYani alonipa hili box la usingizi linalovuja sijui ni nani
Pole, atakuwa yule mzee wa kuunga mkono hojaYani alonipa hili box la usingizi linalovuja sijui ni nani
Lala unono dear! Nami nitaungana nawe muda si mrefuUsiku mwema jamn
Afande katishaAfande kalala, parade itafanyika alfajiri
Nitarudi kukagua3:30 itapendeza
Naomba ukirudi unihesabie namba maana lucas mobutu siku hizi hanishikii namba kama zamani[emoji134]Nitarudi kukagua