Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,051
[emoji22]Upo mama mrs mnyantuzu[emoji23]
[emoji22]Upo mama mrs mnyantuzu[emoji23]
Naomba ukirudi unihesabie namba maana lucas mobutu siku hizi hanishikii namba kama zamani[emoji134]
[emoji30]utanikumbukaNitake radhi bwana, mnyantuzu na mimi wapi na wapi? Au unataka kunizibia riziki hapa
Si hunitaki mapenzi yameishaNaomba ukirudi unihesabie namba maana lucas mobutu siku hizi hanishikii namba kama zamani[emoji134]
Umekufa lini? Au kwakuwa nimesema mimi?Huu utaratibu wa kushikiana namba tumeufuta.
[emoji30]utanikumbuka
Usinifanyie hivyo tafadhali... Naomba leo unishikie namba, afande atakapokuja saa 3:30Si hunitaki mapenzi yameisha
Umekufa lini? Au kwakuwa nimesema mimi?
Sawa nitamwambia ila pia nitakusemea kwa Mzigua90
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nishajua! Afadhali umeniambia kuwa mnanitegea mnibambe...hamtakaa mnikamate ng'ooTena wewe ndo tunakusubiria ujichanganye.
We ngoja tu.
Sawa my wife to be[emoji8]Usinifanyie hivyo tafadhali... Naomba leo unishikie namba, afande atakapokuja saa 3:30
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama unajishtukia? Kwani wewe unahisi nitamwambia nini?Kwani nimezungumza chochote hapa, kuna siku tulilinda wote kule kwenye geti dogo, sasa kuna mambo tuliongea kuhusu mikakati ya ulinzi, hatukumaliza maongezi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama unajishtukia? Kwani wewe unahisi nitamwambia nini?
Asante nawe pia. Binafsi nakupenda pia, sijui wenzanguUsiku mwema nyote nawapenda
We bwana usiniite hivyo hadharani, utanizibia riziki aaah![emoji53][emoji53][emoji53]Sawa my wife to be[emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Basi leo mfanya asiibuke huku mpaka kesho mchana ambapo geti litakuwa limeshafungwaHalafu unajua ni member huku, kuna mida kama saa kumi hivi anaibukaga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Basi leo mfanya asiibuke huku mpaka kesho mchana ambapo geti litakuwa limeshafungwa