JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee. Usingizi muhimu sana. Jaribu kuwa na ratiba inayoeleweka na hakikisha unapata angalau masaa yasiyopungua saba kila siku. Wanasayansi wanasema kuwa kutopata usingizi wa kutosha pengine ndiyo kisababishi kikuu cha kansa karibia zote; na tayari katika nchi za wenzetu huko watu wanaofanya kazi zenye shift za usiku kama manesi, polisi na wengineo wameanza kutambuliwa kama watu wanaofanya kazi za hatari na kulipwa posho maalum. I take sleep seriously...
Saa mbili mapema sana lakini. Mara nyingi nalala saa nne au tano kuamka saa kumi na mbili. Nikiwahi kulala ndo napata shida kama hizi za kuwahi kuamka
 
Aisee. Usingizi muhimu sana. Jaribu kuwa na ratiba inayoeleweka na hakikisha unapata angalau masaa yasiyopungua saba kila siku. Wanasayansi wanasema kuwa kutopata usingizi wa kutosha pengine ndiyo kisababishi kikuu cha kansa karibia zote; na tayari katika nchi za wenzetu huko watu wanaofanya kazi zenye shift za usiku kama manesi, polisi na wengineo wameanza kutambuliwa kama watu wanaofanya kazi za hatari na kulipwa posho maalum. I take sleep seriously...
Si kakwambia amelala toka saa moja kastuka saa saba
 
Nakosea? Sijui protokali zenu huku japo hata picha huwa naziona ona. Kama huku picha huwa hamruhusu naomba nisamehewe [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️

Mkuu hukosei mkuu, huku lindoni chochote tupia, kwanza siku kama 3 ulipotea, mimi nilishakariri nikiingia napitia posts zako najua leo lindo limenoga.
 
Back
Top Bottom