Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,867
Nakupenda pia kakaHivi nakupenda
Nakupenda pia kakaHivi nakupenda
Me nakupenda sn.Kwn dada yangu umeolewa?Nakupenda pia kaka
Unataka kumuoa dada yako kwan kaka?Me nakupenda sn.Kwn dada yangu umeolewa?
Nimeuliza tuuuu,kwani kuna ubaya dada yangu mzuri?Unataka kumuoa dada yako kwan kaka?
Moods njooni huku
Kuna nini kwani?Moods njooni huku
HatariiiiiiKuna nini kwani?
Sijaona mlinzi anayeogopa hatari [emoji16][emoji16][emoji16]Hatariiiiii
Kwani huko ni usiku wa saa ngp?Walinzi nyie waoga balaa. Mnalinda nini sasa kama mko waoga hivi?
Anyway, goodnight wapendwa...
Tuonane kesho tukijaliwa...
Ndiyo kwanza inagonga saa moja na nusu usiku/jioniKwani huko ni usiku wa saa ngp?
Pole...Sijalala. Usingizi umekata bwana.
Hata sichokagi sababu ya usingizi. Nimelala mapema ndo maana nimewahi kuamka. Hata nikilala nusu saa tu namaliza usingizi..Pole...
Kesho kama unakwenda job utakuwa umechoka mbaya. Jitahidi ulale...
Chukua Biblia usome sura kadhaa usali kidogo halafu ujaribu tena kulala. Unaweza kubahatisha masaa angalau mawili matatu hivi kabla hakujakucha kabisa kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwangu saa 2 na robo sasa. Ngoja nami nilale. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijalala. Usingizi umekata bwana.
Unalala saa mbili mkuu? mi nililala saa moja ndo yamenikuta ya kuamka saa saba.Kwangu saa 2 na robo sasa. Ngoja nami nilale. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aisee. Usingizi muhimu sana. Jaribu kuwa na ratiba inayoeleweka na hakikisha unapata angalau masaa yasiyopungua saba kila siku. Wanasayansi wanasema kuwa kutopata usingizi wa kutosha pengine ndiyo kisababishi kikuu cha kansa karibia zote; na tayari katika nchi za wenzetu huko watu wanaofanya kazi zenye shift za usiku kama manesi, polisi na wengineo wameanza kutambuliwa kama watu wanaofanya kazi za hatari na kulipwa posho maalum. I take sleep seriously...Hata sichokagi sababu ya usingizi. Nimelala mapema ndo maana nimewahi kuamka. Hata nikilala nusu saa tu namaliza usingizi..
Ndiyo ratiba yangu. Huwa najitahidi kupata angalau masaa manane kila usiku. Usingizi kwangu muhimu sana...Unalala saa mbili mkuu? mi nililala saa moja ndo yamenikuta ya kuamka saa saba.