Nope! Kukaa nje siyo kuzuri sana labda uwe na shida maalum kama sisi. Huwezi kuwa huru na hasa kama unataka maisha simple. Tatizo la hapo home wengi hatuna kipato cha kujiendeleza na hata tukipata kidogo tuna enjoy sana bila kukiendeleza tulichonacho. Ukija huku bila kuwa na uelewa na kile unachofuata unaweza kuwa mtumwa wa kila kitu kuanzia kimwili hadi akili. Home is the best believe me. Only what, how, where, when, which and who to do are the problems. Ukitaka kujua ninachomaanisha ona mtiririko wa wachina na wazungu wanavyojazana hapo bongo na wanakwenda hadi vijijini wanaondoka na utajiri amabo sisi hatuuoni.Mkuu hongera. Kuishi nje ni ndoto ya wengi especially mimi
sijalala mkuu wangu, mzima?Hujalala tu ?
Mmmh labda mkuu.ila mimi hua nadhani huko nje mnaishi life fulani ambalo huku wanaishi wachache.Nope! Kukaa nje siyo kuzuri sana labda uwe na shida maalum kama sisi. Huwezi kuwa huru na hasa kama unataka maisha simple. Tatizo la hapo home wengi hatuna kipato cha kujiendeleza na hata tukipata kidogo tuna enjoy sana bila kukiendeleza tulichonacho. Ukija huku bila kuwa na uelewa na kile unachofuata unaweza kuwa mtumwa wa kila kitu kuanzia kimwili hadi akili. Home is the best believe me. Only what, how, where, when, which and who to do are the problems. Ukitaka kujua ninachomaanisha ona mtiririko wa wachina na wazungu wanavyojazana hapo bongo na wanakwenda hadi vijijini wanaondoka na utajiri amabo sisi hatuuoni.
Mzima,maisha yanaendaje ? Unajua nini,huwa sipendi mtotowa kike aniambie "mkuu".sijalala mkuu wangu, mzima?
Mimi mzima, nashukuru sasa mkuu oops sorry unataka nikuitaje? maana naona mkuu inarahisisha mamboMzima,maisha yanaendaje ? Unajua nini,huwa sipendi mtotowa kike aniambie "mkuu".
Sio uniite,wewe tumia neno lingine mbadala au usilitumie kabisa.Mimi mzima, nashukuru sasa mkuu oops sorry unataka nikuitaje? maana naona mkuu inarahisisha mambo
Hahaha dadeqMzima,maisha yanaendaje ? Unajua nini,huwa sipendi mtotowa kike aniambie "mkuu".
Fanya kama uliandika hvi punde "Mimi mzima,nashukuru..."Mimi mzima, nashukuru sasa mkuu oops sorry unataka nikuitaje? maana naona mkuu inarahisisha mambo
Kumbe nawewe ni mla vumbi mwenzangu? basi najuaga upo nje na wewe mda huu ulipo ni mchana kwako, kumbe tupo tunapambana na jiwe sote.Mmmh labda mkuu.ila mimi hua nadhani huko nje mnaishi life fulani ambalo huku wanaishi wachache.
Bibie nikajua tuko peke yetu kwa sasa muda huu tuna chat,sasa nimestuka naona watu wanatupia like aisee.Mimi mzima, nashukuru sasa mkuu oops sorry unataka nikuitaje? maana naona mkuu inarahisisha mambo
sawa wangu, mengineFanya kama uliandika hvi punde "Mimi mzima,nashukuru..."
[emoji23]mkuuKumbe nawewe ni mla vumbi mwenzangu? basi najuaga upo nje na wewe mda huu ulipo ni mchana kwako, kumbe tupo tunapambana na jiwe sote.
Nitakutafuta,nikitaka nikwambie kitu,naona wengi wataona vurugu zangu humu.sawa wangu, mengine
Mkuu tupo tunakuchora tu .tunasema hiiiiiii (kwa sauti ya jiwe)Bibie nikajua tuko peke yetu kwa sasa muda huu tuna chat,sasa nimestuka naona watu wanatupia like aisee.
Hatari aisee,sioendi kujulikana yaani sioendi hasa.Mkuu tupo tunakuchora tu .tunasema hiiiiiii (kwa sauti ya jiwe)
ha ha ha wanapiga chabo maongezi yetu.Bibie nikajua tuko peke yetu kwa sasa muda huu tuna chat,sasa nimestuka naona watu wanatupia like aisee.
Halafu inakua sio poa kabisa,nitakutafuta nitakutafuta nitakutafuta...!ha ha ha wanapiga chabo maongezi yetu.
Ila leo kama bahati hivi ninachat na wewe,huwa naona ona tu maoni yako,kwa ufupi nakufatilia sana.ha ha ha wanapiga chabo maongezi yetu.