JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha hao wajinga sana, mtu anasoma daftari zima, afu usiombe umuombe majibu kwenye paper wanakaza kichizi
Ila kuhusu ma genious nimesoma na dogo mmoja jamaa alikua hasomi prepo wala hatoboi.mchana kutwa anazurula tu dom. Ije paper sasa ana 90-100
Eeh hao majamaa nlikua ndo nlikua napenda kuchill nao kijijini chimbo, tunazurura tu hawasumbui sijui tuwahi kurudi, ila ndo hivyo kwenye mtihani wananitoa nduki nagonga zangu gentleman 50% yeye anakula 97% afu fresh tuu kiroho safi
 
Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali. O level ukitoa ICT na english
Masomo mengine yote nilikua nafanya paper kufikisha 50 tu na kweli zilikua hazivuki[emoji23] afu tukawa tunapeana moyo sana na washkaji
 
Back
Top Bottom