GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,812
- 18,423
Mimi huku kama kwako, nautafuta usingizi tuu.Kwema kabisaa sijui wew
Mimi huku kama kwako, nautafuta usingizi tuu.Kwema kabisaa sijui wew
Nani huyo aliyebahatika kukumilikiMwenye mali ni mkali wuuii
Napiga doria mkuuUmefungua geti na kuondoka, mbona sikuoni humu ndani?
Nachokoza kujua ni Mali ya nani?Kumbe nyie ni mtu na mali yake?[emoji15] [emoji15]
Hahaha mkuu acha bhanaNani huyo aliyebahatika kukumiliki
Natamani nikupunguzie wangu manake daah kama teja mara sim inadondoka naiokota doohMimi huku kama kwako, nautafuta usingizi tuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nachokoza kujua ni Mali ya nani?
Ukijibiwa unitagNachokoza kujua ni Mali ya nani?
Ikidondoka tena husiiokote, utaona kitakachotokea.Natamani nikupunguzie wangu manake daah kama teja mara sim inadondoka naiokota dooh
Hiyo doria unaipigia wapi mbona wapiga doria wenzio tuko hapa na hatukuoni?Napiga doria mkuu
Mimi huku kama kwako, nautafuta usingizi tuu.
Tafadhalini sana tusiambukizane mausingizi hapa [emoji23]Natamani nikupunguzie wangu manake daah kama teja mara sim inadondoka naiokota dooh
Njoo niku nunulie.Bia situmii, kama utaninunulia wine nambie nije hapo chap
Ww lala tu acha sie tulindeJamani lindo jema hizo comment sasa taratibu msinitingishe mi nalala
Nakuja fasta, umekaa upande upi?Njoo niku nunulie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kitatokea nini?Ikidondoka tena husiiokote, utaona kitakachotokea.
Naenda kuchukua dawa ya kukata usingizi kaunta pale, hizi nilizokunywa bado hazijatimiza majukumu yakeHiyo doria unaipigia wapi mbona wapiga doria wenzio tuko hapa na hatukuoni?
Mada nini nami nitafakarr kuunga mkonyo hoja...Naunga mkono hoja....[emoji53][emoji53]
Niletee na mimi [emoji39] [emoji39] [emoji39]Naenda kuchukua dawa ya kukata usingizi kaunta pale, hizi nilizokunywa bado hazijatimiza majukumu yake