JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yah ndo moja ya mystery za ubongo wa binadamu, zingine 80% hatujazijua, mfano kwanini mtu anakuwa chizi, kwanini ukilala huachi kupumua, hizo involuntary activity na voluntary activities zinaendeshwaje na ubongo, hamna anayejua, ndomana wanasayansi wanasema 80% ya ubongo wetu hatujaweza kuitumia,
Duh! Ina maana hizi vurugu zote za binadamu zinatumia 20% tu? Basi ngoja nianze mazoezi ya kutumia ubongo walau nifikishe 50%
 
Asante kwa kuniunga mkono.
Hivi hako kamsemo ka ULIPO TUPO kameishia wapi siku hizi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Bado kapo,premier hua anakatumia mara chache kwenye mikutano yake na watu wa ushirika.
Sema kame decline kutokana na ku rise kwa utapata tabu sana na tabu iko pale pale
 
Hao wajinga mi nlikua nawaona tu nasema Hiiiii
Enzi za o level mpaka advance cha ajabu tulifaulu wote tena wengine unapata nao daraja sawa au kuwazidi[emoji23]
Kuna makuda flani walikua wanatoboa kipindi hiko nasomasoma seko, dah ila nlikuja kujua sio kuwa wanapenda kusoma ila walikua wanameza daftari zima hata hawajui kinaandikwa nini wanameza tu, na pia kuna majiniasi nimegonga nao skuli wanaweza kukukatisha tamaa, hawasomi afu wanaburuza, walikua wananikera asee. Tunacheza wote tunalala wote afu unanikimbiza
 
Hahaha hao wajinga sana, mtu anasoma daftari zima, afu usiombe umuombe majibu kwenye paper wanakaza kichizi
Ila kuhusu ma genious nimesoma na dogo mmoja jamaa alikua hasomi prepo wala hatoboi.mchana kutwa anazurula tu dom. Ije paper sasa ana 90-100
 
Kuna makuda flani walikua wanatoboa kipindi hiko nasomasoma seko, dah ila nlikuja kujua sio kuwa wanapenda kusoma ila walikua wanameza daftari zima hata hawajui kinaandikwa nini wanameza tu, na pia kuna majiniasi nimegonga nao skuli wanaweza kukukatisha tamaa, hawasomi afu wanaburuza, walikua wananikera asee. Tunacheza wote tunalala wote afu unanikimbiza
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndio utakubaliana na wahenga kuwa "Akili ni nywele kila mtu ana zae"
 
Back
Top Bottom