Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Mi masomo nilikuwa nayaona mengi hadi yanakera, ila biology ndo lilikuwa easy wala sihangaiki nalo, ICT ndo ilikuwa computer studies mkuu, nlikua nalipenda hadi basi hasa pale napoachiwa mda wa free nitumie PC, japo kuna maswali nlikua naona nyota,Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali. O level ukitoa ICT na english
Masomo mengine yote nilikua nafanya paper kufikisha 50 tu na kweli zilikua hazivuki[emoji23] afu tukawa tunapeana moyo sana na washkaji