JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Asante kwa udadavuzi, hiyo hali huwa inanitokeaga
Yah ndo moja ya mystery za ubongo wa binadamu, zingine 80% hatujazijua, mfano kwanini mtu anakuwa chizi, kwanini ukilala huachi kupumua, hizo involuntary activity na voluntary activities zinaendeshwaje na ubongo, hamna anayejua, ndomana wanasayansi wanasema 80% ya ubongo wetu hatujaweza kuitumia,
 
Back
Top Bottom