Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,488
- 112,008
Naunga mkono hoja...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimebaki mdomo wazi
Naunga mkono hoja...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimebaki mdomo wazi
Tena wewe nahisi u mchawi, mnyantuzu wewe sio bureHope hua unaniota[emoji45]
Ndio mkuu nakubaliana na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiomaana bado Naunga mkono hoja chief.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mitaa hii kumeshakucha....Na mkoko unaalika Maua japo si DaftariMkuu, huu ni usiku mnene....tehteehh
Hivi kwanini siku hizi hatutungi methali, vitendawili na misemo mipya?Wahenga walikua wanaangalia tu afu wanatunga misemo, wahenga bana...waoga kichizi [emoji23][emoji23][emoji23]
mmhh sijaot kuhusu mambo ya muviMovie zinawadanganya, mnajikuta mmeota vitu mlivyoona kwenye movie mnaviapply kwenye ndoto.
Sawa nikuletee zawadi gani?Tawile mwanawane...Ukija njoo na zawadi,
Sawa mkuu, nimeunga mkono hoja....Mitaa hii kumeshakucha....
Uliyo nayo ntashukuru..Sawa nikuletee zawadi gani?
Mmmmh! Kwahiyo nikiwaza niko kwa Kenyata kumbe niko bongo nakuwa nimeota?Ni ile hali ya kufanya jambo kabla ya wakati au sehemu isio sahihi.. ni sawa na kuona upo chooni kumbe una shusha mzigo kitandani [emoji23] [emoji23]
[emoji23]mi sio wa hilo kabila bna .endelea kuniota hta mimi nimewahi kukuota.ila niliota eti umeitikia mhalikoTena wewe nahisi u mchawi, mnyantuzu wewe sio bure
umenikimbia shambani hahahahaMwana mpotevu mvua zimeisha eeh?
Naona umerudi
miss youMmmmh! Kwahiyo nikiwaza niko kwa Kenyata kumbe niko bongo nakuwa nimeota?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua kupangilia vinaMitaa hii kumeshakucha....Na mkoko unaalika Maua japo si Daftari
Nitakuletea chai ya tangawizi, kitunguu saumu na limao uchangamshe utumboUliyo nayo ntashukuru..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ule wa miaka ile?[emoji23]mi sio wa hilo kabila bna .endelea kuniota hta mimi nimewahi kukuota.ila niliota eti umeitikia mhaliko
Wezi wengi uwa wanapoteza muelekeo wanapokimbizwa kimya kimya,Ususani mkimbizaji awe kavaa mzuli...Kumbe na wewe umemuona eeeh! Anakimbiza mwizi kimya kimya tu
Miss you more baby shem!miss you