Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,403
- 31,659
Umevaaje?Nipo counter
Umevaaje?Nipo counter
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkonyo tena, naona mfupa hauna ulimiMada nini nami nitafakarr kuunga mkonyo hoja...
Alafu siku moja tuufanye huu usiku uendelee mchana kutwa lindo lisifungwe
Bas sawaa ngoja tuunge na sisi mikonyo hoja...ngoja nimpe maagizo weita[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkonyo tena, naona mfupa hauna ulimi
Lala unono best, na mimi leo nitaaga sio kama janaJamani lindo jema hizo comment sasa taratibu msinitingishe mi nalala
Karibu utuhudumie best, maana mwenye jukumu hilo ndo huyo keshaangusha gariWw lala tu acha sie tulinde
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nshakaribiaaaaKaribu utuhudumie best, maana mwenye jukumu hilo ndo huyo keshaangusha gari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona eeeh! Mimi mwenyewe huwa natamani ku comment mchana. Inabidi tutafute suluhisho kwa kweli, au nyie mnaonaje?Hiyo siyo powa, watu tulishazoea kulinda usiku utuhamishie mchana!
Ila kuna muda mtu umakuwa tempted kuingia mchana ila unaacha tu.
Haya mimi nipe kisichana, kisha wasikilize hawa wenzetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nshakaribiaaaa
Inabidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona eeeh! Mimi mwenyewe huwa natamani ku comment mchana. Inabidi tutafute suluhisho kwa kweli, au nyie mnaonaje?
Geti li wazi ingieni tuanze kikao chetu mapema
Huwa tunajikaza [emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona eeeh! Mimi mwenyewe huwa natamani ku comment mchana. Inabidi tutafute suluhisho kwa kweli, au nyie mnaonaje?
Mimi nazungumzia hili la maweKuna mageti mengine ya nyasi . .... ilo unalosema ww ni lipi?
Mi nmeagiza kasuperior brandy naona kanakuja taratibu kwa mikogoHaya mimi nipe kisichana, kisha wasikilize hawa wenzetu
Nikipata kura tano za ndio kama hizi kesho tunaanzisha kijiwe cha gahawaInabidi
[emoji2]Nikipata kura tano za ndio kama hizi kesho tunaanzisha kijiwe cha gahawa
Naunga mkono hoja [emoji848][emoji848]Nikipata kura tano za ndio kama hizi kesho tunaanzisha kijiwe cha gahawa
Kakifika utanionjesha na mimi, nisikie ladha yake [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mi nmeagiza kasuperior brandy naona kanakuja taratibu kwa mikogo
Kanakata usingizi balaa,Kakifika utanionjesha na mimi, nisikie ladha yake [emoji39] [emoji39] [emoji39]