JamiiForums Usiku wa manane

inabidi ije sheria mpya Makanisa nayo yafungwe sàa sita
Unadhani mpaka leo umafikiria hili swala we ni wakwanza? Walishajaribu hilo na mpaka majirami wa makanisa mengine walishaenda kushtaki polisi na kwenye taasisi ya usajili wa makanisa n so far nothing has been done. Mambo yahusianayo na imani wee yaache tu mkuu
Wacha watu waombe wamsifu Mungu wao siku ziende haha
 
Mimi wapo hapa jirani yangu sasa wanaanza asubuhi mpaka saa moja usiku basi vurugu
Utasikia" piga keleleee" tumuimbie yesu oh thank you jesus oh thank you jesus (usiombe mwanamke aseme haya maneno,ni majaribu unaeza kwenda kuchungulia )
Haha you have made my dawn morning. Eti majaribu mwanamke anaposema "oh thanks Jesus" haha
 
Nilikiwa off duty ya ulinzi juzi, jana nimejiongeza sasa sijui mkuu wa lindo Max kaniandikia absence na kunimaind sikutoa taarifa?!
All in all nimemmiss my amu
 
Kuna ukweli wowote?
Things that keep you up at night: loneliness, cold, heat, hunger, late night texting, memories, over thinking, worries, the internet.
Kweli kabisa
 
Amina
 
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] Nafunga geti rasmi
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…