Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Haya waite waje watufundishe sasaWote wabovu tuuu mim na ww hatujui
Ila tutajifunza kupitia kwao so usiogope
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya waite waje watufundishe sasaWote wabovu tuuu mim na ww hatujui
Ila tutajifunza kupitia kwao so usiogope
Sent using Jamii Forums mobile app
Kho! Kho! Wacha wee....nani huyo?[emoji6]Waache waje, halafu kuna mmoja nina kazi naye.
Hahaha unaikumbuka Predetor,, na ile ya yule mnigga analiwa na mamba,, movie flan hv za kikomandooNi very old, kabla ya NollyWood, Bongo Movie hata mimba ilikuwa haijafikiriwa.
At your age ilishapotea.
Mimi wa 60's [emoji12]Unajua ni movie za late 80s na early 90.
Duh! Jimama tena?Wazee wa mnaona kila mtu n mwanachama, npo na jimama fulani amazing
Hiyo ni kazi yangu hata usijali
Katimize wajibu wako, kwa leo lindo halikufaiHahahahahah acha kuwekA vingwazo mkuu
Ngoja nivute kumbukumbu vizuri na mimi labda nitazikumbuka [emoji12]Hahaha unaikumbuka Predetor,, na ile ya yule mnigga analiwa na mamba,, movie flan hv za kikomandoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana![emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 60s utakuwa unazkumbuka sana tuNgoja nivute kumbukumbu vizuri na mimi labda nitazikumbuka [emoji12]
Mimi wa 60's [emoji12]
Bado sana kwenye uhenga,,,wew andaeitin itakuwa[emoji124] [emoji124]Sana![emoji6]
Hapana mkuu, hii kumbukumbu ya kihenga haiko vizuri any more[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 60s utakuwa unazkumbuka sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sikuiona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuuHapana mkuu, hii kumbukumbu ya kihenga haiko vizuri any more
Subutuuuu![emoji23][emoji23]Bado sana kwenye uhenga,,,wew andaeitin itakuwa[emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo huku tupige stori mpaka kucheee