Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Umefichwa na nani my dear?[emoji848]Usiku mwema ladies and gentleman
Umefichwa na nani my dear?[emoji848]Usiku mwema ladies and gentleman
Hahaha unaikumbuka Predetor,, na ile ya yule mnigga analiwa na mamba,, movie flan hv za kikomandoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku mwema ladies and gentleman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kahawa imeisha mkuuSubutuuuu![emoji23][emoji23]
Basi karibu gahawa![emoji16]
Yap,, predator ilikuwa ya ukweli sana,, Anord bhana hajawahi kuzngua kwenye movie zake,, kama TerminatoPredator ilikuwa ya Anorld, kuna mniga anachekecha kulielekezea lile dudu hapo hapo likapitia mkono.
Ile ya mniga wa mamba inaitwa The Hard Way, nilikuwa naiona ni ya kibaguzi sana, kwa nini mniga ndo aliwe na mamba mapema na wale wengine wakaendelea na movie.
Haya sogea nikuongezee
Kahawa ya mwanzo ilikuwa imepoa mkuu,, nmesogea tylHaya sogea nikuongezee
Yap,, predator ilikuwa ya ukweli sana,, Anord bhana hajawahi kuzngua kwenye movie zake,, kama Terminato
Yap,,asante kwa kunkumbusha mkuu,, The Hard Way
Sent using Jamii Forums mobile app
Naumia sn pale niga anakamatwa na mamba,anaokolewa but Jamaa anapita Kwa pembeni anamuuaThe Hard Way kuna muda starring anaingia na bonge la pikipiki kwenye kambi ya maadui, wakaanza kulipua mapipa ya mafuta.
Dah, old is gold.
Naumia sn pale niga anakamatwa na mamba,anaokolewa but Jamaa anapita Kwa pembeni anamuua
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli kabsa,, kpnd kulikuwa na movie za ukweli sanaThe Hard Way kuna muda starring anaingia na bonge la pikipiki kwenye kambi ya maadui, wakaanza kulipua mapipa ya mafuta.
Dah, old is gold.
Kabisa YaniIle movie walituonea mablack.
Hakutakiwa kufa mapema vile.
Go where?
Ila kuna movie zingine zinauma sn,kama Ile ya Rescue down.
Na Ile chuck Norris anateswa sn mpaka anajifanya amejinyonga
Sent using Jamii Forums mobile app