JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha, tulikuwa tunateseka kama vile ni kweli.

Mimi nilikuja kushangaa namwona yule mniga wa predator kwenye movie nyingine, napo akafa.

Nilivyorudi nyumbani namuuliza mdingi kwa nini jamaa afe mara 2? Mzee ananiambia hizo movie in uongo. Wanatengeneza, nikawa simwelewi.
Hah Sana yani,me hadi kulia.

Check mambo hayo,namwelewa sn huyu mtu hasa mateke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, tulikuwa tunateseka kama vile ni kweli.

Mimi nilikuja kushangaa namwona yule mniga wa predator kwenye movie nyingine, napo akafa.

Nilivyorudi nyumbani namuuliza mdingi kwa nini jamaa afe mara 2? Mzee ananiambia hizo movie in uongo. Wanatengeneza, nikawa simwelewi.
Hahaha aisee,, ila zilizokuwa znatia huzuni sana za kihindi mzee,, dah zlkuwa znasikitsha kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
f9713d56-f3ce-4145-a9bc-11793cad2e4c.jpg
 
Blessed are the side-chicks who meet you with your wife & ignore you totally, like you don't exist, then send you a text next day sayin, "Jana Nilikuona na wife wako, hata nikashindwa kukusalimia. Yule mlikuwa naye ndiye first born?"
[emoji23][emoji7][emoji39][emoji8][emoji91][emoji91][emoji1436]‍♂
 
[emoji119] [emoji119] ile ligi tuite EPL au Bundasliga ya Ujeruman [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Utoto tu ule. Uzuri humu hatujuani na hakuna mwenye haki ya kumnyanyasa wala kumnyenyekea mwingine. Samahani bro najua pengine umeshtuka. Yameshapita hayo
 
Back
Top Bottom