Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Ulikuwa unamsumbua sana Monitress, tushafunga get wewe unakuja kufungua.
Hahaha dah ile movie ya ktambo sana yule jamaa alikuwa anaitwa dave,, jina la pili silikumbuk vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Iv yupo wap....?Ulikuwa unamsumbua sana Monitress, tushafunga get wewe unakuja kufungua.
Hahaaaa kumbe ndio maana aliitwa komando kipensi eeeh?Sterling alikuwa na kikaptura cha jinzi ya blue mwanzo mpaka mwisho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo wakija nawatimua
Karibu gahawa achana na usingiziSijalala Usingizi Nimeegesha Tu Mwili, Wala Usingizi Haunijii Sijui Ni Mpaka Saa Ngapi?
Tuwekee tusikilize kama ni nzuri!
Hiyo umepata, omba kingine
Hapana bhana usifanya ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo wakija nawatimua
Dah! Hiyo movie ilinipita aiseeHahaha dah ile movie ya ktambo sana yule jamaa alikuwa anaitwa dave,, jina la pili silikumbuk vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshakaribia MkuuKaribu gahawa achana na usingizi
Bora umemsema maana alikuwa anavunja katiba yetu[emoji23]Mkuu niaje, naona siku hizi umeacha tabia mbaya.
Ok
Nikupe na kashata au gahawa tupu?Nshakaribia Mkuu
Usiwaite bwana[emoji53][emoji53][emoji53]