Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
Niko peke yangu hapa nawalindia thread. Kesho lazima mchangishane mnilipe !!!
Tupo mkuuHatimaye nyote mmelala [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Utasubiri sana kiongoziNiko peke yangu hapa nawalindia thread. Kesho lazima mchangishane mnilipe !!!
Si umejitolea?Niko peke yangu hapa nawalindia thread. Kesho lazima mchangishane mnilipe !!!
Leo asubuhi nimecheka sana baada ya kupitia hu uziNaomba Nimwachie Ambiele Kiviele
Usifanye hivyo..Leo nafunga geti Mimi.
Bado muda