Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kesha sema mimi na yeye DAMU DAMU
Kama hivyo sawa.
Kesha sema mimi na yeye DAMU DAMU
Nilipotea jf kwa muda kulikoni bossKumbe na wewe hujui kuhusu Dada Vinci???
Umefika muda muafaka sana kamanda
Hiki kicheko cha kuku kulikoni tena 😀😀😀Koh Koh koh
[emoji252] [emoji479]
Kwema kiongozi karibu
Ahsante kiongozi nimeingiwa na mawazo machafu imebidi niingie JF nisome threads za watu tuKwema kiongozi karibu
HahahaAhsante kiongozi nimeingiwa na mawazo machafu imebidi niingie JF nisome threads za watu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya basi twende ukapumzikeNipo najikaza kufumbua macho, pamoja na Maji na Barafu bado usinizi haujaisha
Nakuja mbioHaya basi twende ukapumzike
sitaki uchokozi na wewe
Ongeza speedNakuja mbio