Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
amekimbia wakati ndio namletea vitendea kazi
Kazi ya ulinzi ni ngumu ujue, hata hivyo kajitahidi.
amekimbia wakati ndio namletea vitendea kazi
Naomba Nimwachie Ambiele Kiviele
Acha mimi nimuite Mondray maana hilo la Dada Vinci linaukakasi. Mwanangu Da'Vinci Malcom Lumumba anakutafuta hukuMweeeh Dada Vinci sijamuona kabisa leo
Acha nitafute Njiti nishikilie macho
Kazi ya ulinzi ni ngumu ujue, hata hivyo kajitahidi.
Unazo bamdeji na solotepu?
Inaonekana tatizo lako ni la muda mrefu na limekuwa chronic karai la maji litafailNaomba uzingatie Haki za Binadamu...Freezer baridi...labda KARAI LA MAJI
karibu jamvini boss
Ataku-like sana kumpa majukumu makubwa namna hiyo.
Nakuletea na Super Glue itakuwa poa zaidiAcha nitafute Njiti nishikilie macho
Inaonekana tatizo lako ni la muda mrefu na limekuwa chronic karai la maji litafail
Wanaweza wakawa wamejiteka mkuuManga ML tusaidie kujua alipo huyu kiumbe.
Hunipendi ujue?Nakuletea na Super Glue itakuwa poa zaidi
Haya funba macho maana nimechanga na ice kidogoNimwagieni maji basi, nasubiria
Haya funba macho maana nimechanga na ice kidogo
upendo umezidi upendo wa agape kwako. Hahaha tamumia kila njia tupigane na huo usingiziHunipendi ujue?
Kumbe na wewe hujui kuhusu Dada Vinci???Acha mimi nimuite Mondray maana hilo la Dada Vinci linaukakasi. Mwanangu Da'Vinci Malcom Lumumba anakutafuta huku
Nitakuloanisha mwili tu maana na experience na hivi vitu usiogopeNafumb macho tu? Inakuaje maana sitaki kuloana nguo?