Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Hahaha huyu chalii yupo na series atapita mida mida hapaDada Vinci yuko wapi ???
Foreman ni kiongozi mkuu wa walinzi walioko Field, atatoa taarifa muda anaokuja.
Akishafika mimi ndo nitawapisha, nimechukua kalamu na karatasi ya kuorodhesha matatizo yetu.
Ndio maana nimeona utulivuWamehama Lindo. Ila wengi wao wamepangiwa kulinda mchana.
Hilo sio tatizo ni pendekezo...HahahahaAndika Tatizo langu...
# Nasinzia ovyo ikifika mida ya Lindo#
Andika Tatizo langu...
# Nasinzia ovyo ikifika mida ya Lindo#
Hilo ni tatizo la wengi, Kichwa Kichafu pekee ndo hana hilo tatizo.
Kwa hiyo unahitaji upate nini ili kupambana na hiyo hali?
we inabidi tukufunge freezer miguuniAndika Tatizo langu...
# Nasinzia ovyo ikifika mida ya Lindo#
Mweeeh Dada Vinci sijamuona kabisa leoHahaha huyu chalii yupo na series atapita mida mida hapa
Hilo sio tatizo ni pendekezo...Hahahaha
Heri punda afe ila mzigo ufike hahahaha ruhusa zimeishaNiruhusu nika lale tu
we inabidi tukufunge freezer miguuni
Heri punda afe ila mzigo ufike hahahaha ruhusa zimeisha
amekimbia wakati ndio namletea vitendea kaziHilo ni tatizo la wengi, Kichwa Kichafu pekee ndo hana hilo tatizo.
Kwa hiyo unahitaji upate nini ili kupambana na hiyo hali?