JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu tumetofautiana fikra na msimamo.
Siwez gombea msichana na mtu hata kama nampenda vipi. Namuachia nae awe nafuraha..
Hapana bwana tayari mpo nae na mnafuraha alafu atokee mtu anampenda huwezi kumgawa tu kwa huyo mtu bado hujajali furaha ya mpenzi wako furaha yake ipo kwako ndio maana kakuchagua... Mpenzi wako angekuwa ameamua kukuacha basi ndo ungefuata furaha yake.
 
Back
Top Bottom