Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Ambiele Kiviele Mambo?
[emoji122][emoji122][emoji122]Hapana bwana tayari mpo nae na mnafuraha alafu atokee mtu anampenda huwezi kumgawa tu kwa huyo mtu bado hujajali furaha ya mpenzi wako furaha yake ipo kwako ndio maana kakuchagua... Mpenzi wako angekuwa ameamua kukuacha basi ndo ungefuata furaha yake.
Hapana mapenzi sijayapa nafasi sana kwanguumeshawahi kupenda kwa moyo wote? (kama wanavyosema wanafalsafa wa mapenzi)
Wewe si unaenda kupikiwa???ukiwa unaenda niambie twende wote Monchou!
basi hongera sanaWakiwa wengi ndipo nazidi barikiwa kupitia wao
Bora mm nijiondoe wabaki wanamalizana waiWakiwa wanaumia wengi je?
Wala ila saa zingine kujali furaha yako ni muhimuNafanya vibaya??
Ahsante sanabasi hongera sana
Oohh my bad...sorryNachukia uongo
Kiukweli furaha yangu inaletwa na Kusikiliza muziki + muvi. Labda mm bado mtotoWala ila saa zingine kujali furaha yako ni muhimu
HayaOohh my bad...sorry
Haya unakaribishwa bibieNitapitia usijali...
Bado Haujasomwa na wenye kukuhitaji....
sawaHapana mapenzi sijayapa nafasi sana kwangu
ndio, kiporo utakula mwenyewe tuWewe si unaenda kupikiwa???
Mie naenda kula kiporo....
Poa poa chiefsawa
ShukraniHaya unakaribishwa bibie
@amu niachie kiporo ....mchana umpikie Mr Millerndio, kiporo utakula mwenyewe tu
Unakuwa unafanya si poa kwa mpenzi wako kisa wanaumia ndo umuache!Bora mm nijiondoe wabaki wanamalizana wai
Ahsante shem akeeShukrani
Nitajitahidi kubadilika nakuahidiUnakuwa unafanya si poa kwa mpenzi wako kisa wanaumia ndo umuache!
Haijakaa njema[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji31]