amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
nitajitahidi nisishindwe kwakweli...Ushindwe lindo...
..??????!!!Aaah mkuu mchukue tu nafsi yako ipate faraja na furaha
Don Clericuzio Clerucizio akuwekee ukwaju,pilipili mayonnaise
Bado usikate tamaa...Mimi nipo...muhimu utashiHizi meno ndio burudani ya bibi yako....[emoji39] [emoji39]
Ingawa zimenitia hasara kubwa sana ya kukataliwa na bebez humu jamvini...[emoji19] [emoji19]
Mr da vinci unamaanisha?Aaah mkuu mchukue tu nafsi yako ipate faraja na furaha
Nilikuwa sijui Nina Ubavu humu...Unaupenda ubavu wangu???
Usikawie , usije rudi jua linachomozaDON Clerucizio akuwekee ukwaju,pilipili mayonnaise bbade siwezi jamani hata hapa nipo njiani zege mlegezo moja na peps baridi ndo nitalala Mr Miller kwa kweli nshazoea dona mixer unga wa mihogo na vibambala usiku mambo ya kizungu ntayaweza wapi? Ushimen toothpick zimeisha ila nitakuletea njiti za kiberiti
Sawa, ngoja nikutumie PM. Lakini usintangaze kama.....[emoji85] [emoji85]Bado usikate tamaa...Mimi nipo...muhimu utashi
Genius! MaraAaah mkuu mchukue tu nafsi yako ipate faraja na furaha
nitajitahidi nisishindwe kwakweli...
Sorry nilitoka nje ya mada hapo sorryNilikuwa sijui Nina Ubavu humu...
kabisaSafi sana, lindo kwanza.
Umeniangusha...Sorry nilitoka nje ya mada hapo sorry