JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapana bwana tayari mpo nae na mnafuraha alafu atokee mtu anampenda huwezi kumgawa tu kwa huyo mtu bado hujajali furaha ya mpenzi wako furaha yake ipo kwako ndio maana kakuchagua... Mpenzi wako angekuwa ameamua kukuacha basi ndo ungefuata furaha yake.
Shida siwez ona mwenzangu anakosa furaha ajili yangu wakati ninauwezo wa kumpatia kitu anachohitaji
 
Mr Miller wewe hujawahi kula hao smoked sangara?utamu kunoga nazi,bamia,nyanyachungu kwa kweli njoo tu uonje ujifunze, Don Clericuzio hupendi au hutumii mayonnaise?usijali ya kwako nitayala mie bbade nimeshapata si mbali ni hapo nje tu karibu
sikumbuki kama nimewahi au la, ila umenipa hamasa ya kutaka kuwaonja....ukipika unialike,
 
Back
Top Bottom