Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,077
Binaadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya wengine.Mr da vinci unamaanisha?
Let's say tunapendana na bbade tunafurahi lakini pia kumbe pembeni kuna mtu naye anampenda na ateseka kwa kumkosa. Kwa mimi nionavyo niko tayar kumuachia naye awe na furaha