JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hii zilikua nyekunduuuu kabisa kuonyesha ndio pendo limeiva. Ngoja niziwele tena
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Yaani wewe nikienda kwa web...ni Nyeusiiiii Tiiiii...acha nibakie huku...
 
DON Clerucizio akuwekee ukwaju,pilipili mayonnaise bbade siwezi jamani hata hapa nipo njiani zege mlegezo moja na peps baridi ndo nitalala Mr Miller kwa kweli nshazoea dona mixer unga wa mihogo na vibambala usiku mambo ya kizungu ntayaweza wapi? Ushimen toothpick zimeisha ila nitakuletea njiti za kiberiti
 
vibambala ndio vinini amu?
 
Back
Top Bottom