bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Kweli aiseeKwenye kudai haki kuna mengi
Kweli aiseeKwenye kudai haki kuna mengi
Oooopsss..!! Nimajua kule kwa vijana wa bashite kama waenda ChanikaMdodomia kiongozi
Ngoja nifunike kombe mwanaharam Jiwe apite tujana nlikuwepo ktk kupambania kislesi changu katika keki ya taifa .chamsingi ni kukubaliana na hali tu ndugu yangu,hakuna namna hapo ni kutafuta vitu vya kupasha moto mwili na kusisimua/changamsha akili kama, [emoji477] [emoji481] [emoji483] [emoji484] [emoji485] [emoji100] [emoji100] etc
Hulalii we mdadaZitakuwa 5...nishameza 2
pilau lenyewe lilikuwa la kibabe?,tonge nyama,tonge kiazi? au lakawaida?.maana unakula kodi yako hapo so ni wajibu wao kukupa kilicho bora.Posho itoke wapi mkuu tumelishwa tu pilau na nyama basi mengine utajihudumia mwenyewe
Kuna mtu kachukuausingizi wangu, namsubiria aurudisheHulalii we mdada
Comment reserved...duu ulikuwa pugu high school?
Makao makuu kiongoziOooopsss..!! Nimajua kule kwa vijana wa bashite kama waenda Chanika
sawa mkuu nami naifahamu kiasiComment reserved...
Naifahamu mitaa hiyo vyakutosha..
Nani huyo kakusesha usingiz bibie..Kuna mtu kachukuausingizi wangu, namsubiria aurudishe
Paprika anakupa haiiisawa mkuu nami naifahamu kiasi
Poa poa. Utakua mwenyeji wangu dooon😎Makao makuu kiongozi
duuh, sijui kama anikumbikaPaprika anakupa haiii
Bado sijamjua, Ndio maana nimekuja huku, kama naweza azima wa mtu...nirudishe jua likisha chomozaNani huyo kakusesha usingiz bibie..
Anamsalimia Quigley..duuh, sijui kama anikumbika
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nimemmiss sanaAnamsalimia Quigley..
Pole sana usingiz ni asset kila mtu anauhitaji. Mm niko tayar kukupa kampani hadi akikurudishia..🤗🤗Bado sijamjua, Ndio maana nimekuja huku, kama naweza azima wa mtu...nirudishe jua likisha chomoza
karibu na shukraniPole sana usingiz ni asset kila mtu anauhitaji. Mm niko tayar kukupa kampani hadi akikurudishia..🤗🤗
Pilau lilikuwa tonge harage,tonge harage mi nililazimika kulikwepa maana nilikuwa nishabonyea mtaani hivyo hata sikuhangaika nalo.Sio kodi tu maana na 2000 tumechangishwa tena kwa lazimapilau lenyewe lilikuwa la kibabe?,tonge nyama,tonge kiazi? au lakawaida?.maana unakula kodi yako hapo so ni wajibu wao kukupa kilicho bora.
mambokaribu na shukrani