Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Na diapers tiakeee,.usisahauu[emoji23][emoji125][emoji125]kaonee
Na diapers tiakeee,.usisahauu[emoji23][emoji125][emoji125]kaonee
Zitakuwa 5...nishameza 2Meza priton 3 utanipa mrejesho kesho
We unamchuuza mwenzio au unataka awe teja?Meza priton 3 utanipa mrejesho kesho
mwache ashangae, mjini hapa atajiju na lifisi lake, akicheza vijana watamchinja na kuwauzia wauza bucha[emoji13] [emoji13] [emoji13]mjanja kweli yaaan
Mkuu kwa baadhi ya mambo madogo kama haya hawa wateuliwa hawawezi kukugusagusa ovyoovyo ukisha watoa nishai kwa Court japo mara moja tuSiku hizi sheria hazizingatiwi kivile. Na ajitoe mbuzi wa kafara?
Karibu mjengoniTeam mapopo
Hapo ilibidi posho ihusikeMkuu kwa baadhi ya mambo madogo kama haya hawa wateuliwa hawawezi kukugusagusa ovyoovyo ukisha watoa nishai kwa Court japo mara moja tu
nielewe wapi mshamba mie mke wangundio, ulikua hujaelewa??
Mkuu hii ni kigogo ya pugu?Hapo ilibidi posho ihusike
Umeona sema ss hv kila mtu anajifanya mbabe ukihoji mikwara mingi na Maelezo lundo mwishowe uanze kununiwa ofisini na kutegewa mabomu bure.Hapo ilibidi posho ihusike
kona ya pugu kajiungeni?Mkuu hii ni kigogo ya pugu?
Acha usingizi uje wenyewe dawa si nzuriZitakuwa 5...nishameza 2
Napapata sana hapo, nimehudhuria vigodolo usiku mixer kupiga ndumukona ya pugu kajiungeni?
Acha usingizi uje wenyewe dawa si nzuri
duu ulikuwa pugu high school?Napapata sana hapo, nimehudhuria vigodolo usiku mixer kupiga ndumu
Mdodomia kiongoziMkuu hii ni kigogo ya pugu?
Kwenye kudai haki kuna mengiUmeona sema ss hv kila mtu anajifanya mbabe ukihoji mikwara mingi na Maelezo lundo mwishowe uanze kununiwa ofisini na kutegewa mabomu bure.
jana nlikuwepo ktk kupambania kislesi changu katika keki ya taifa .chamsingi ni kukubaliana na hali tu ndugu yangu,hakuna namna hapo ni kutafuta vitu vya kupasha moto mwili na kusisimua/changamsha akili kama, [emoji477] [emoji481] [emoji483] [emoji484] [emoji485] [emoji100] [emoji100] etcWe acha tu mkuu at least hapa napata kampan maana na hili baridi vikamasi vinachuruzika tu.