Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
wewe si umejifanya mjanja?[emoji12]Uandae baby walker kabla hujaondoka,..[emoji16]
wewe si umejifanya mjanja?[emoji12]Uandae baby walker kabla hujaondoka,..[emoji16]
Aisee kazi kweli kweliPosho itoke wapi mkuu tumelishwa tu pilau na nyama basi mengine utajihudumia mwenyewe
Ujue bado namsubiri fisi hapa,..[emoji71]wewe si umejifanya mjanja?[emoji12]
Sasa jeee"Oooyyyyoooo leo ntakuwa wa green namm lol[emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu mwengeni mnatestigi mitambo sana kwani maganda ya risasi hukotwa kesho yake[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hawa mapimbi wanatuhatarishia tu afya zetu maana kuniambia bachelor mie nikakeshe kwenye mwenge ni kama kunipeleka kuwinda finyango kwa lazima
Wozaa wozaaaSasa jeee"
We acha tu mkuu hapa nahangaika nipate kachuo kanakojielewa nikatafute hata ka diploma ka sheria naona tunakanyagana mikia kulikopitiliza na yote ni kutokana na umbumbu wetu katika sheriaAisee kazi kweli kweli
hapana mkuuLaleni
mjanja kweli yaaanwewe si umejifanya mjanja?[emoji12]
Mkuu ni hatari kufia kwenye urimbo.mkuu mwengeni mnatestigi mitambo sana kwani maganda ya risasi hukotwa kesho yake[emoji28] [emoji28] [emoji28]
ndo kuangusha injini yenyewe Inna?
[emoji85][emoji85][emoji85]mjanja kweli yaaan
Meza priton 3 utanipa mrejesho keshoMwenye usingizi aniazime
kaonee[emoji85][emoji85][emoji85]
ModelTupoooo
Siku hizi sheria hazizingatiwi kivile. Na ajitoe mbuzi wa kafara?We acha tu mkuu hapa nahangaika nipate kachuo kanakojielewa nikatafute hata ka diploma ka sheria naona tunakanyagana mikia kulikopitiliza na yote ni kutokana na umbumbu wetu katika sheria