JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Pilau lilikuwa tonge harage,tonge harage mi nililazimika kulikwepa maana nilikuwa nishabonyea mtaani hivyo hata sikuhangaika nalo.Sio kodi tu maana na 2000 tumechangishwa tena kwa lazima
kudadaadeki,haloo dijeeei weka ile nyimbo pendwa ya marehemu john komba imfikie bachelor sugu kokote aliko.
Jikaze ndugu yangu ndo ukubwa huo.
 
Current situation
9e87a3bb9b2730a267cd43d201e3bba0.jpg
 
Back
Top Bottom