Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,421
kwani Mr Miller ndio shem?Bora tu..iishe....maana Mr Miller naye kasafiri basi shida tupu.
kwani Mr Miller ndio shem?Bora tu..iishe....maana Mr Miller naye kasafiri basi shida tupu.
Ulikuwa hujui?kwani Mr Miller ndio shem?
Basi nimeharibu...Mimi nahisi mchepuko...[emoji87][emoji87][emoji87]
Hapa umenunua Talaka...Mimi simo....
Sina maana hiyo dada [emoji22]Hapa umenunua Talaka...Mimi simo....
Halafu umepotea kweli...nani ana kaimu nafasi yako...?Sina maana hiyo dada [emoji22]
Hata najua sasa? nimepata baby ananiweka busy kweliHalafu umepotea kweli...nani ana kaimu nafasi yako...?
Safi sana....mafundisho ya ndoa mnaanza lini?Hata najua sasa? nimepata baby ananiweka busy kweli
Bado sana mafundisho ya ndoa..tupo kwenye uchumbaSafi sana....mafundisho ya ndoa mnaanza lini?
Fanya mje Chuga niwapeleke Ngorongoro ....Bado sana mafundisho ya ndoa..tupo kwenye uchumba
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] Sawa sista wa JoseFanya mje Chuga niwapeleke Ngorongoro ....
Karibu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] Sawa sista wa Jose
Upo chuga sehemu gani?Fanya mje Chuga niwapeleke Ngorongoro ....
Mbona uko mbele sana...ndio kwamnza 010002:02
asante...bye SisKaribu
Joseverest njoo umwelekezeUpo chuga sehemu gani?