HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuvusha mara moja moja sio mbaya kiongoziHahahaha kwani bachelor hana usingizi?siku moja moja naye si anaokotaokota wa kutestia mitambo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuvusha mara moja moja sio mbaya kiongoziHahahaha kwani bachelor hana usingizi?siku moja moja naye si anaokotaokota wa kutestia mitambo.
Woooii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani na hivi atakuwa mtam tam na mshwityy kama mama'ake yaanii heheeiyaasanaaa tu ..snapchat itakukoma kwa kumtupia mwanao unavoipenda sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
bora ww ulijichagulia maisha yakokesheni mpaka mpate akili[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Uandae baby walker kabla hujaondoka,..[emoji16][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
aache uji..ujingaumemwelewa lkn dada ako etii anakaribia kushusha injini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni hiviiii[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Woooii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani na hivi atakuwa mtam tam na mshwityy kama mama'ake yaanii heheeiyaa
Anko niko hapa nimejaa fullNew mommy in town nakujaaa soon
Hawa mapimbi wanatuhatarishia tu afya zetu maana kuniambia bachelor mie nikakeshe kwenye mwenge ni kama kunipeleka kuwinda finyango kwa lazima[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuvusha mara moja moja sio mbaya kiongozi
Heeee hutaki uanko??aache uji..ujinga
acha zikae sawasawa utafanya maamuzi magumu[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahaha mkuu we acha tu mi zimeshanikaa sawa aisee.
Kabisaaa koka moto tumpk kucheeee
Hakuna posho kwenye hayo mamboHawa mapimbi wanatuhatarishia tu afya zetu maana kuniambia bachelor mie nikakeshe kwenye mwenge ni kama kunipeleka kuwinda finyango kwa lazima
Na zinatukaa sawa wengi aiseeacha zikae sawasawa utafanya maamuzi magumu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mama meme mimi momo mumuWouuzzzerrrrr[emoji75]
Ww nakujuaa,.ntainjoy saaana jirani anko ukiwepo[emoji12]Anko niko hapa nimejaa full
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama meme mimi momo mumu
japo haikuwa rahisi, ilitaka moyo wa chuma, lkn kwasasa hata aniite Mzee jiwe wala sitaki utumwabora ww ulijichagulia maisha yako
Posho itoke wapi mkuu tumelishwa tu pilau na nyama basi mengine utajihudumia mwenyeweHakuna posho kwenye hayo mambo
Oooyyyyoooo leo ntakuwa wa green namm lol[emoji23][emoji23][emoji23]Mama meme mimi momo mumu