Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Naomba msameha kwa yaliyotokea jana!Hahahahaha kweli arooo reo hatujagongana kabisa mtaani
Naomba msameha kwa yaliyotokea jana!Hahahahaha kweli arooo reo hatujagongana kabisa mtaani
Ulale salama zilipendwa wanguNawapenda sana naombeni nilale maana nimesikia kishindo kama jiwe limeanguka yawezekana asali wa moyo wangu mganga karudi na misukule ngoja nikampokeee
Geuka nyuma utamuonaNawapenda sana naombeni nilale maana nimesikia kishindo kama jiwe limeanguka yawezekana asali wa moyo wangu mganga karudi na misukule ngoja nikampokeee
Usinikose adabu, huu ni mwanya ujue....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hii kamba, wewe na hiyo mipengo yako mdada gani wa kukufuata?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesha kufungulia ukuje wewe tu...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ulipouza lindo eeeh?usijali nimekusamehe kwatuuuuNaomba msameha kwa yaliyotokea jana!
Jf kuna mambo mazito sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu nasikia kulikuwa na ubuyu, nimeumiss aisee kwa kutokuwa hewani mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kamba, wewe na hiyo mipengo yako mdada gani wa kukufuata?[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ndipo tunapo vunjia ukimya sisi madomo zege.... tehteehhhAlmaarufu kama kaniitieni![emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fungua banaa kwani hujui kuwa mwanaume habani miguu lakini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio maana nipo hapaHaya sasa tumia chance vizuri
Mnawaonea bure wanaume wa dar hao ng'ombe wapo huko huko mikoani
Wa huku kwetu Nanjilinji hawaotagi motoWewe tangu lini umeona ng'ombe hajaota moto...
Almaarufu kama kaniitieni![emoji23]
Mkuu hawa kanuni yao wanatembea kinyumenyume akigeuka anaweza kujikita amekuwa kichuguuGeuka nyuma utamuona
Basi hakuna baridi huko maana safari hii limevuka mipakaWa huku kwetu Nanjilinji hawaotagi moto
Kumbe, ila nihakikishie usalama wanguNa halua pia ipo [emoji39][emoji39]
Una mgawa bure?Tiririka na kuserereka tu mkuu, mihuyo alishaga nishinda tabia na kwanza natafuta wa kumgawia tu.... tehteehhh
Usipongia kwa musa kidogo tu unapitwa mambo mengi sanaJf kuna mambo mazito sana
Nilikushinda kwa tabia gani? Usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu[emoji53]Tiririka na kuserereka tu mkuu, mihuyo alishaga nishinda tabia na kwanza natafuta wa kumgawia tu.... tehteehhh
Wanaota nini?Wa huku kwetu Nanjilinji hawaotagi moto