bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
We Thad hii kaniitieni ya wapi maana na mie kuna sehemu inaitwa kaniitieni naifahamuAlmaarufu kama kaniitieni![emoji23]
We Thad hii kaniitieni ya wapi maana na mie kuna sehemu inaitwa kaniitieni naifahamuAlmaarufu kama kaniitieni![emoji23]
Na mimi ngoja nitumie hiyo chance![emoji6]Nimesha kufungulia ukuje wewe tu...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hatariiiiAlmaarufu kama kaniitieni![emoji23]
KumbeeMkuu hawa kanuni yao wanatembea kinyumenyume akigeuka anaweza kujikita amekuwa kichuguu
Wanaota ndoto tuWanaota nini?
SawaWanaota ndoto tu
Ndo hiyo hiyo mkuu![emoji6]We Thad hii kaniitieni ya wapi maana na mie kuna sehemu inaitwa kaniitieni naifahamu
Lakini salama[emoji3] [emoji3] [emoji3] hatariiii
Zipuuze hizi habari[emoji12]Una mgawa bure?
Mh ipo humu au duniani?Ndo hiyo hiyo mkuu![emoji6]
Miwani ishakuwa mizito nn?Endeleeni na lindo mimi naegesha kwanza
Endeleeni na lindo mimi naegesha kwanza
Wenilisha kugawa kitambo.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Na mimi ngoja nitumie hiyo chance![emoji6]
Umemgawia nani mkuu?Wenilisha kugawa kitambo.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ulinipiga ban Pale Mwembeni "PM", basi nami nikakugawa kwa wakubwa wakufaudu tu.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nilikushinda kwa tabia gani? Usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu[emoji53]
Au utasikia kamluzi/mwanga wa tochi kimya kikizidi kajiwe kanarushwa juu ya batiAlmaarufu kama kaniitieni![emoji23]
Nyie mnaishi wapi huko penye baridi sana? Mimi mbona nipo Mafinga lakini muda huu nimekaa nje nimejifunga kanga moja tu[emoji6]Basi hakuna baridi huko maana safari hii limevuka mipaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] simu zimeharibu sana utamu wa maisha!Au utasikia kamluzi/mwanga wa tochi kimya kikizidi kajiwe kanarushwa juu ya bati