win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,611
- 32,828
weekend huwa natoka kupepesa macho nione ya dunia🤣🤣Mkuu Toka mkuu. Weekend tunaendaga mjini 😂😂😂
Home g😂😂 weekend inabidi uwe umefungiwa sehemu ...!
weekend huwa natoka kupepesa macho nione ya dunia🤣🤣Mkuu Toka mkuu. Weekend tunaendaga mjini 😂😂😂
Home g😂😂 weekend inabidi uwe umefungiwa sehemu ...!
umepenzika huko weeeee alf unanijiia asubuhi,, mi sitakimimi nipo
😆😆😆😆 ulitengeneza wangapi maana nikiishiwa uzalendoHuu ni muda wa kutengeneza watoto
mara ya mwisho alisema anaumwaAna tatizo gani?
bebi huu ndio muda wa wakubwa kuitanaumepenzika huko weeeee alf unanijiia asubuhi,, mi sitaki
labda kuitana kwenye fursabebi huu ndio muda wa wakubwa kuitana
mmmmh.haya ,nitakuita kuna fursa moja naikimbizalabda kuitana kwenye fursa
utaniua kwa presha ujue, mwenzio niko serious ,hahahaha😆😆😆😆 hapan sio kama ulivyo fikiria woiii
sawa ba mtu nakuaminia,,mmmmh.haya ,nitakuita kuna fursa moja naikimbiza
piga kazisawa ba mtu nakuaminia,,
badae kidogo basi kuna issue nafanya
Ndivyo alivyokiria na hakuna kitu utamfanya😆😆😆😆 hapan sio kama ulivyo fikiria woiii
cha kumfanya kipo 😅😅Ndivyo alivyokiria na hakuna kitu utamfanya
Usiku ukiingia uje😆😆😆😆 ulitengeneza wangapi maana nikiishiwa uzalendo
Uyo mwenetu anayemgojea nasikia amewekwa lock down na katoto ka afu mbilidah kumbe kuna mtu unamgojea? kudadeki hii presha
Hivi dunia ya sasa bado kuna watu mnakula kababuJana nilikua naumwa, usiku nilikua na kababu zangu 5, kidari na chachandu.
Nikala kababu moja nikatapika nikaacha kula nikagawa msosi.
Leo kila nikikumbuka kababu zangu nahisi kulia, waliozila natamani kuwatia makwenzi.
nije wapi tenaUsiku ukiingia uje
Unajua nmeqmc sana bibienije wapi tena