JamiiForums Usiku wa manane

Inaelekea enzi zako ulikuwa mahiri wa kunukuu yaani umeninukuu mpaka ambayo nilipanga kuyasema keshokutwa [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi umesahau wahenga wenzio walikwambia hakuna aijuaye baadae yake itakuaje, wewe umejuaje ya kesho kutwa[emoji40]
 
Ya leo siwezi kuifakamia maana muuzaji kanambia gahawa ya leo kaitia klorokwini 72, naogopa kujiova dozi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kweli maana tokea mwanzo nilihisi kuna kitu sio Bure, hiyo itakua harufu yake ni sawa na klorokwin 31[emoji40]
 
Hapo sasa umeniacha njia panda kama yule mwenye hisia za kutolala ambaye sasa hivi anakoroma mpaka mtaa wa7 wanamsikia. Nitafsirie kwa kindengereko swahiba [emoji101] [emoji101]
Hahaha kindengereko ndo kwanza niko kwenye irabu ya kwanza, si nimesikia siku hizi wajita wa kitafsiri gugo chao, ingizamo hayo maneno utapata jibu[emoji6]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…