Nimekumbuka ulivyoeleza tukio la kuuwawa Mugol na kumtaja Mugol kuwa ni Left General hapo nikajua wewe ni Legend wa kazi hii 😂Bu wiyeom alibaki ametoa machoo tu kampa wine halafu kamuweka mari target na vibuyu master archer akampa mambo.🤣🤣
🫠🫠Nimeangalia nyingi lakini hii ndio imebaki kwenye External mpaka Leo nikimiss kumuangalia mo palmo analia au ile royalty yake kwa general naweka 🤣🤣Mpaka wanamshawishi Bu wiyeom kukubali ilikuwa mtiti , vipande vile nilivipenda sana 😂
Inaelekea Jumong ulikuwa unaifuatilia kama Mimi sana mpaka Majina ya wahusika na vyeo vyao hukosei kabisa 🙃 ,
🥹ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ Hii scene inanihuzunishaga sana Mugol kamanda haswa unaona iyo sword bado imesimama hapo right general chozi limemtoka jembe lake anakufa huku anacheka.Nimekumbuka ulivyoeleza tukio la kuuwawa Mugol na kumtaja Mugol kuwa ni Left General hapo nikajua wewe ni Legend wa kazi hii 😂
View attachment 3691481
Hizo ni shida zako mwenetu,chuki inakutafuna wewe mwenyewe🎵Nitakudanganya kwa tabasamu nitakudanganya kwa comment, nitakudanganya kwa kulike picha,
ila moyoni nakuchukia🎵🎵
Kuna watu watasema itabidi katiba ibadilishwehivi kulikua na umuhimu gani wa kufundishwa mimea inayoota jangwani wakati tz hakuna jangwa
Ukihitaji na kiko nishtueNimekua mvivu wa kutype, naishia kusoma tu.
Dalili ya uzee naiona.
Kiko ni kifaa cha kuvutia sigara?Ukihitaji na kiko nishtue
Ndiyo na kinaambatana sana na uzeeKiko ni kifaa cha kuvutia sigara?
huu ni wimbo jamni😥Hizo ni shida zako mwenetu,chuki inakutafuna wewe mwenyewe
wanahoja wasikilizweKuna watu watasema itabidi katiba ibadilishwe