Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,391
- 95,844
Bado dakika 5Funga HB,...good morning[emoji6]
Nafunga geti
Bado dakika 5Funga HB,...good morning[emoji6]
Nafunga geti
Umetoka wapi we mtoto! Yaani muda wa kufungua we ndo unafunga. Kwa hiyo kijiwe kimepigwa au?Nafunga geti
Umetumwa sio bure! [emoji123] [emoji123]Nafunga geti
Nawe kumbe mshabiki wa mpiraNaombeni matokeo ya chelsea jamani
Huyu anatutafuta ubaya sio bureNjooni mumuone huyu Ze kesho watu alivyouza kijiwe!
Sana!Nawe kumbe mshabiki wa mpira
Mi alinishinda ndo maana nikawaita muje mumuone alivyo!Huyu anatutafuta ubaya sio bure
Bahati yake kakimbia, tungemng'oa masikio [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mi alinishinda ndo maana nikawaita muje mumuone alivyo!
Ndo nini? (in Joti's voice)Naangalia jumanji 2017