JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

2008 Enzi za zeutamu,lol

niliona kama jf ndio mmiliki wake,

nilikua nashusha matusi humu,kama mama mwenye nyumba ambae hajalipwa,lol
 
Kuna watu humu ndani ni vibabu na wengine ni vitoto vya kuvizaa kabisa. Sema ukivigusa tuu vina maneno machafu utadhani .......!?
Hahahahaha ndio nilikua najiuliza kuwa baadhi yao walikua wapio miaka tisa (9) iliyopita wakati najiunga na Jambo Forums, duh hadi Jamii Forums? Tumepitia mengi Mkuu Maxence Melo ufanye mpango tukutane tena kama ile ya Ocean Road ya mwaka ule
 
Hahahahaha ndio nilikua najiuliza kuwa baadhi yao walikua wapio miaka tisa (9) iliyopita wakati najiunga na Jambo Forums, duh hadi Jamii Forums? Tumepitia mengi Mkuu Maxence Melo ufanye mpango tukutane tena kama ile ya Ocean Road ya mwaka ule
Ila miaka ile mijadala ilikuwa heavy kweli kweli! Enzi hizo unakuta league imepamba moto kwenye hoja nzito hadi nadhani wakubwa wote serikalini walijua utatuzi utapatikania Jamboforums.
Ila sasa watoto na waajiriwa wa propaganda wameharibu jukwaa
 
JF imetoka mbali...nakumbuka enzi hizo 2012 mwanzoni nimejiunga na ID yangu flani hivi nikaenda Jukwaa la siasa kichwakichwa si kwa nilivyoshukiwa. All in All imeimprove sana and it keeps getting better...
Tutaanza kukuita muhenga
 
- Ziilikuwa enzi tunalisimamisha Taifa kwa hoja na habari za ndani pure, nakumbuka siku Mbunge Mkono anakatwa jina kugombea Wazazi kwenye kikao cha CC Ikulu yeye hana habari lakini akaja kuzisoma hapa, Taifa lilikuwa halijui Balali yupo wapi lakini wakazikuta habari za alipokuwa hapa, Waziri Mkuu Lowassa alijua kuwa atateuliwa kuwa PM kwa habari za hapa mapema sana

le Mutuz
 
Sijui BRAZAMENI aliishia wapi; halafu Mwalimu Augustine Moshi naye ameamua kuwa kimya siku hizi. Busara za watu kama Augustine Moshi inaonekana kama zimetoweka kabisa hapa JF siku hizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2008 Enzi za zeutamu,lol

niliona kama jf ndio mmiliki wake,

nilikua nashusha matusi humu,kama mama mwenye nyumba ambae hajalipwa,lol
Ze utamu bana!

Habari zao nyingi zilikuwa za Uzushi.

Halafu Mtu akiwa na chuki binafsi na wewe, basi hapo utabandikwa na kusilibiwa hadi basi.

Mara moja moja sana nilikuwa napita Ze utamu.

Wanyonge wao walikuwa IFM.

Enzi hizo sikuwa nafahamu kama kuna kitu inaitwa JF
 
Back
Top Bottom