JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

We umeamua kutuumbua kisa ulikuja kwangu ukalala na baiskeli sebleni.
Wacha hizo ukija siku nyingine nitakua nimepata pa kukulaza nisamehe sitarudia kosa Mkuu.
 
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Kweli mkuu. Kwamfano kuna comments za wanawake humu za kisomi sana na huwa zinaninyegeresha hadi nalainika kabisa.
Wananstarehesha kwa maneno hadi najisemea "wallah nikionana naye nitampenda bila kumuangalia usoni"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jiji kama Dar, ni ngumu sana kwa kijana kuishi kwenye nyumba ya chumba, sebule, jiko na choo. Yani graduate wengi ni self contained, chumba+jiko+sebule+store humo humo.

Maisha ni magumu sana, tunajifariji tu mitandaoni.
Unajua niwachache watakuelewa ila mimi nimekuelewa sana kiongozi. Nimaisha nilipitia na yana raha na karaha yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio jikoni pekee??hahahahaa,..
Unajua wazee wetu walikuaga wanasema "mwanamke anaye pika chakula kitamu basi hata yeye mwenyewe atakuwa...." sasa naamini katika huo usemi.
 
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule upande wa pili kuna makapuku kibao ! huwezi kuwa tajiri halafu ukakubali kulipwa elfu 7
 
Ispo kuwa mimi
nimeishia darasa la saba
pia cm yangu Ya sh. 50000
Tuwe wakweli
 
Back
Top Bottom