JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

JamiiForums kila mtu tajiri na msomi

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Humu ndani hakuna maskini wakuu, humu hakuna mwenye njaa ya pesa ndogo ndogo , wote humu kweny akaunt tuna hela za kutosha sana, humu ukisema unamiliki vitz shauri yako mwenyewe na umaskini wako humu sisi tunamiliki mikoko ya maana tena sana, ukiwa humu wewe una nyumba, sasa kama umepanga utajijua mwenyewe sisi humu wote tunamiliki mahekalu, kuhusu simu ndo usiseme sisi humu bhana ni Samsung na iPhone kutokana na majukum ya kusomesha watoto nje na safari nying tukibanwa ndo tunatumia Xiaomi..

Wanawake wa humu wate ni classic, shauri yako.. wanawake humu wote wanalalamika jiji la Dar linakera folen wanapokuwa kwenye magari yao kurudi nyumban, wanawake wa humu wote wanamiliki mahandsome, sasa wew kama mume wako sio handsome hamia tu Facebook, we umewahi kusikia mwanamke mama ntilie humu.. weeeee.. humu wote ni degree holders na mishahara yao sio chini ya 3 million, nani apokee laki 3.. wewe..

Kila mtu humu anajua, hakuna mbumbumbu wa kitu chochote, humu ndani hakuna bwege wote wajanja, wa mjini wenye maisha mazuri, kazi nzuri na mishahara minono..

Hii ndo jamii forum bhana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli

Makapuku, tulioishia darasa la. 7 hata sec hatujafika, tulio panga chumba ki1 na. Tunaosomesha watoto wetu kayumba tupo, tunatmia. Tecno, itel, viwa, huawei na tusio na vitz tunapanda daladala tupo tene ndio. Wengi ila tu hatutaki. Kujiweka wazi kwa kuwa hapa ni kijiweni. Ukweli na uhalisia ni nyumbani tu sio humu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulioshia STD 7, na wapigwa na jua tupo ,jamani

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Back
Top Bottom